Barcelona,Hispania.
MSAADA!!Mashabiki wa FC Barcelona wamemuomba Lionel Messi ikitokea timu imepata penati basi ampe Javier Mascherano apige ili awe ameondoka gundu la kutoifungia bao klabu hiyo tangu alipojiunga nayo mwaka 2010 akitiokea Liverpool.

Mascherano,31 licha ya kuiwezesha FC Barcelona kutwaa mataji 13 katika michezo 264 lakini mpaka sasa ameshindwa kuifungia klabu hiyo bao hata moja.
0 comments:
Post a Comment