Dar es salaam,Tanzania.
Klabu ya YANGA SC itaondoka siku ya ijumaa ikiwa na kikosi chake kabambe kwenda Mauritius kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji,Cercle de Joachim.
Kikosi kinachotarajiwa kukwea pipa ni:
Makipa; Ally Mustafa ‘Barthez’ na Deo Munishi ‘Dida’.
Mabeki; Juma Abdul, Mbuyu Twite,Oscar Joshua, Mwinyi Hajji Mngwali, Nadir Haroub ‘Cannavaro’,Kevin Yondan, Vincent Bossou na Pato Ngonyani.
Viungo ni; Said Juma ‘Makapu’,Salum Telela, Thabani Kamusoko, Haruna Niyonzima,Simon Msuva, Issoufou Boubacar na Deus Kaseke.
Washambuliaji ni; Malimi Busungu,Paul Nonga, Amissi Tambwe na Donald Ngoma.
BENCHI LA UFUNDI;
Kocha Mkuu; Hans van der Pluijm (Uholanzi),Kocha Msaidizi; Juma Mwambusi
Kocha wa Makipa; Juma Pondamali Daktari; Nassor Matuzya,Meneja; Hafidh Saleh,Mchua Misuli; Jacob Onyango Mtunza Vifaa,Mohammed Mpogolo
0 comments:
Post a Comment