Yanga imeanza vyema michuano ya vilabu bingwa Afrika baada ya kuitandika Cercle de Joachim ya Mauritius kwa mabao 1-0 katika mchezo uliopigwa jumamosi ya leo huko Mauritius.Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Mzimbabwe Donald Ngoma dakika ya 17 ya kipindi cha kwanza baada ya kuizidi ujanja safu ya ulinzi ya Cercle de Joachim.
Mchezo wa marudiano utapigwa wiki mbili zijazo jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment