IMEFICHUKA!!Kiungo Ivan Rakitic ndiye nyota aliyeichezea FC Barcelona michezo mingi zaidi katika kipindi cha misimu miwili ya hivi karibuni.
Kwa mujibu wa Mundo Derpotivo,Rakitic tangu ajiunge na FC Barcelona mwaka 2014 akitokea Sevilla amekuwa mchezaji fiti zaidi kuliko Lionel Messi, Sergio Busquets na Neymar Jr.
Hii hapa orodha ya wachezaji na idadi ya michezo waliyocheza tangu Julai 2014
Ivan Rakitic 87
Lionel Messi 85
Sergio Busquets 81
Neymar 80
Javier Mascherano 77
Dani Alves 77
Luis Suarez 77
Jordi Alba 74
Gerard Pique 72
Andreas Iniesta 68
Claudio Bravo 58
Sergi Roberto 52
Marc-Andre Ter Stegen 38
0 comments:
Post a Comment