728x90 AdSpace

Wednesday, February 24, 2016

VPL:AZAM FC YASHINDWA KUKAA KILELENI,YABANWA NA PRISONS SOKOINE

Mbeya,Tanzania.

Azam FC imeshindwa kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo jioni kulazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji Prisons katika mchezo mkali wa kiporo ulipigwa katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.

Kufuata sare hiyo Azam FC imelingana na Yanga baada ya kufikisha pointi 46 lakini imezidiwa kutokana na Yanga kuwa na wastani mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: VPL:AZAM FC YASHINDWA KUKAA KILELENI,YABANWA NA PRISONS SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Unknown