Watford,England.
Odion Ighalo
Odion Ighalo
Klabu ya Watford imeripotiwa kuanza kumfukuzia mshambuliaji wa Granada ya Hispania Mnigeria Isaac Success kabla haijamruhusu mshambuliaji wake Mnigeria Odion Ighalo kutimka mwishoni mwa msimu.
Isacc Success
Kutoka England habari zinasema Watford imemgeukia Success,20 baada ya Ighalo kuripotiwa kuwindwa na vilabu vya Manchester United,Arsenal na Chelsea baada ya kuwa na wastani mzuri wa magoli msimu huu.Watford itamuuza Ighalo kwa kitita cha paundi milioni 12.
0 comments:
Post a Comment