Kampala,Uganda.
Klabu ya Enyimba ya Nigeria imeianza vibaya michuano ya vilabu bingwa Afrika baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 toka kwa mabingwa wa Uganda klabu ya Vipers.
Bao pekee la mchezo huo uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Nakivubo ulioko jijini Kampala limefungwa dakika ya 72 na mshambuliaji Erisa Sekisambu
Vilabu hivyo vitarudiana wiki mbili zijazo huko Port
Harcourt,Nigeria na mshindi ataendelea mbele.
0 comments:
Post a Comment