West Brom jana ilikuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya 16 ya michuano ya Emirates FA Cup baada ya kuing'oa kwa matuta timu ya Peterborough.Ratiba kamili baada ya mchezo wa jana iko kama ifuatavyo.....
JUMAMOSI 20 FEBRUARI
Arsenal v Hull- 12:45
Reading v West Brom - 15:00
Watford v Leeds - 15:00
Bournemouth v Everton - 17:15
JUMAILI 21 FEBRUARI
Blackburn v West Ham - 14:00
Tottenham v Crystal Palace - 15:00
Chelsea v Man City - 16:00
JUMATATU 22 FEBRUARI
Shrewsbury v Manchester United - 19:45
0 comments:
Post a Comment