Sweden
Ndoto ya mshambuliaji Mkenya Michael Olunga kucheza soka la kulipwa imetimia baada ya leo kusaini mkataba wa miaka minne kuichezea Djurgardens ya Sweden akitokea Gor Mahia.
Olunga ama Injinia amejiunga na Djurgardens baada ya kulivutia benchi la ufundi tangu atue Sweden kwa majaribio mwezi mmoja uliopita.
0 comments:
Post a Comment