728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 12, 2016

    ARSENAL KUKIPIGA NA KOMBAINI YA MAREKANI

    London,Marekani.


    Arsenal itacheza na kombaini ya Marekani (Major League Soccer All-Star) Julai 28 huko Calfornia,San Jose Earthquakes’ Avaya kama sehemu ya ziara ya mazoezi kwa ajili ya kujiwinda na msimu mpya wa ligi kuu England (2016/2017).

    Kisha Julai 31,Arsenal itajitupa tena dimbani huko Los Angels kuumana na Chivas ya Mexico.Hii itakuwa na mara ya pili ndani ya miaka miwili kwa Arsenal kutembelea Marekani tangu ilipocheza na New York Red Bulls huko Red Bull Arena mwaka 2014.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ARSENAL KUKIPIGA NA KOMBAINI YA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top