Sunderland,England.
Sunderland imeiduwaza Manchester United baada ya leo mchana kuilaza kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa ligi kuu uliopigwa mchana wa leo katika dimba la Stadium of Light huko Sunderland.
Magoli yaliyoipa ushindi Sunderland yamefungwa na Wahbi Kazri kwa mpira wa adhabu na Lamine Kone huku lile la Manchester Uniited lilikungwa na Antony Martial.Ushindi huo ni wa kwanza kwa Sunderland kupata dhidi ya Manchester United tangu Machi 1997.
0 comments:
Post a Comment