728x90 AdSpace

Saturday, February 13, 2016

DIEGO COSTA AVUNJIKA PUA MAZOEZINI

London,England.

Diego Costa atalazimika kuiongoza Chelsea kusaka pointi tatu muhimu toka kwa Newcastle United jioni ya leo katika mchezo wa ligi kuu akiwa amevaa MASK usoni baada ya kuvunjika pua mazoezini.

Costa ambaye ndiye mshambuliaji pekee aliyefiti Chelsea kwasasa amekutwa na balaa hilo baada ya kugongana vibaya na kinda Fikayo Tomori wakati wakiwania mpira mazoezini.

Kufuatia tukio hilo Costa atacheza mchezo wa leo akiwa amevaa MASK ili kulinda jeraha hilo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: DIEGO COSTA AVUNJIKA PUA MAZOEZINI Rating: 5 Reviewed By: Unknown