728x90 AdSpace

Friday, February 12, 2016

MAN UNITED KUWAUZA NYOTA WAKE CHINA

Manchester,England.

Mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Ed Woodward ametanabaisha kuwa klabu hiyo itawauza kwenda vilabu vya China nyota wake wasiohitajika kikosini pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa majira ya kiangazi.

Edwoodward ameyasema hayo wakati akizungumzia mipango ya klabu hiyo kwa msimu ujao wa ligi kuu na michuano mingine ambapo baadhi ya mipango hiyo ni kuwa na benchi jipya la ufundi pamoja na wachezaji wapya.Baadhi ya nyota wanaotajwa kuuzwa kwenda China ni kiungo Marouane Fellaini.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAN UNITED KUWAUZA NYOTA WAKE CHINA Rating: 5 Reviewed By: Unknown