Congo DRC.
NI PRADO.....PRADO!!Jana Jumanne ilikuwa siku ni ya furaha kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Congo DRC baada ya Rais Joseph Kabila kuwazawadia kila mmoja wao gari aina ya 4x4 Prado lenye thamani ya USD 60,000 kufuatia kutwaa ubingwa wa CHAN kwa kuitandika Mali kwa mabao 3-0 huko Rwanda.
Kabila alikutana na wachezaji hao huko Kinshasa kuwapongeza na kupokea ubingwa huo ambao ni wa pili kutwaliwa na taifa hilo.Mara ya kwanza Congo DRC kutwaa ubingwa wa CHAN ilikuwa ni mwaka 2009.
0 comments:
Post a Comment