Kipa namba moja wa Gor Mahia, Boniface Oluoch aliyekuwa anawaniwa na Simba, ameibuka na kuwa kipa bora wa michuano ya Kagame.
Oluoch ameshinda tuzo hiyo iliyokuwa ikipewa kura nyingi kwenda kwa kipa wa Azam FC, Aishi Manula kwa kuwa timu yake imebeba ubingwa bila kufungwa hata bao moja.
Manula hajafungwa hata bao moja katika mechi zaidi ya nne alizocheza, huku Gor Mahia ikiwa imeruhusu mabao 6.
Oluoch amesema anafurahia tuzo hiyo inayozidi kumpa changamoto zaidi ya kufanya vizuri.
0 comments:
Post a Comment