London,England.
Goli la dakika ya 24 la winga Alex Chamberlain limetosha kuipa Arsenal ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Chelsea na kufanikiwa kutwaa ngao ya jamii kwa mara ya pili mfululizo huku kocha Arsene Wenger akifanikiwa kuibuka mbabe kwa mara ya kwanza mbele ya kocha Jose Mourinho katika mchezo mkali uliopigwa jioni ya leo katika dimba la Wembley.
Kufuatia ushindi huo Arsenal imeweka rekodi ya kuitwaa ngao hiyo kwa mara ya 14 huku ikifuta uteja wa kufungwa na Chelsea mara 13 ikiwa chini ya Jose Mourinho.
Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo kukianza na mabingwa
Arsenal
Petr ÄŒech; Héctor BellerÃn, Per Mertesacker, Laurent Koscielny, Nacho Monreal; Francis Coquelin, Aaron Ramsey; Alex Oxlade-Chamberlain, Mesut Özil, Santi Cazorla; Theo Walcott.
Substitutes: Emiliano MartÃnez, Mathieu Debuchy, Kieran Gibbs, Gabriel Paulista, Mikel Arteta, Alex Iwobi, Olivier Giroud
Chelsea
Thibaut Courtois; Branislav Ivanović, Gary Cahill, John Terry, César Azpilicueta; Cesc Fà bregas, Nemanja Matić; Ramires, Willian, Eden Hazard; Loïc Rémy
Substitutes: Asmir Begović, Kurt Zouma, John Obi Mikel, Oscar, Juan Cuadrado, Victor Moses, Radamel Falcao
0 comments:
Post a Comment