Klabu ya Manchester United ndiyo klabu inayochukiwa zaidi nchini England.Hilo limebainika baada ya utafiti uliofanya na The Mirror kwa kuwauliwa mashabiki mbalimbali juu ya klabu ipi hasa ambayo hawaipendi,wengi kati ya mashabiki hao wameitaja klabu ya Manchester United.
Nafasi ya pili imeenda kwa mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu Chelsea,Liverpool ikishika nafasi ya tatu huku vilabu vya Manchester City na Tottenham vikishika nafasi ya nne na tano.Bournemouth ambayo ni klabu ngeni kabisa katika ligi kuu yenyewe ndiyo timu inayochukiwa kidogo zaidi.
Orodha kamili ya vilabu hivyo hii hapa....................
Vilabu | Wastani wa asilimia
Man Utd | 68
Chelsea | 65
Liverpool | 60
Man City | 53
Tottenham | 46
Arsenal | 41
Stoke | 41
Newcastle | 39
West Ham | 37
Aston Villa | 32
Sunderland | 30
Crystal Palace | 24
Leicester | 21
Everton | 21
West Brom | 21
Norwich | 18
Watford | 15
Swansea | 13
Southampton | 11
Bournemouth | 9
0 comments:
Post a Comment