Raheem Sterling.
Manchester, England.
BAADA ya John Stones kumwaga wino kuichezea Manchester City kwa mkataba wa miaka sita,SOKA EXTRA,kwa msaada wa vyanzo mbalimbali vya kimataifa imependa kukuletea orodha ya wachezaji 10 wa Kiingereza waliowahi kusajiliwa kwa madau makubwa makubwa katika madirisha mbalimbali ya usajili.
John Stones.
1. Raheem Sterling - Liverpool kwenda Manchester City-£49million
2. John Stones - Everton kwenda Manchester City -£47.5million
3. Andy Carroll - Newcastle United kwenda Liverpool - £35million
4. Rio Ferdinand - Leeds United kwenda Manchester United - £30million
5. Luke Shaw -Southampton kwenda Manchester United -£30million
Wayne Rooney
6. Wayne Rooney -Everton kwenda Manchester United-£30million
7. James Milner - Aston Villa kwenda Manchester City -£26million
8. Adam Lallana - Southampton kwenda Liverpool - £25million
9. David Beckham - Manchester United kwenda Real Madrid - £24.5million
10. Darren Bent - Sunderland kwenda Aston Villa - £24million
0 comments:
Post a Comment