Dar es Salaam,Tanzania.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza wanamichezo
wote wanaowania tuzo 13 kwenye hafla ya washindiI a Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2015/2016 itakayofanyika Jumapili (Julai 17 mwaka huu) kwenye hoteli ya Double Tree by Hilton jijini Dar es Salaam.
Tuzo hizo na kiasi cha fedha wanazopata washindi kwenye mabano.
1.Bingwa (sh. 81,345,723)
2.Makamu bingwa (sh. 40,672,861)
3. Mshindi wa tatu (sh. 29,052,044)
4. Mshindi wa nne (sh. 23,241,635)
5. Timu yenye Nidhamu Bora (sh.
17,228,820)
*Zilizopendekezwa kuwania tuzo hiyo ni:
– JKT Ruvu
– Mgambo Shooting na
– Mtibwa Sugar
6. Mchezaji Bora wa Ligi (sh. 9,228,820)
*Waliopendekezwa (nominees) kuwania tuzo hiyo ni:
– Shiza Kichuya (Mtibwa Sugar)
– Juma Abdul (Yanga) na
– Mohamed Hussein (Simba)
7. Mfungaji bora (sh. 5,742,940)
8. Kipa Bora (sh. 5,742,940)
*Waliopendekezwa (nominees) kuwania tuzo hiyo ni:
– Aishi Manula (Azam),
– Beno Kakolanya (Tanzania Prisons) na
– Deogratius Munishi (Yanga)
9. Mchezaji Bora wa Kigeni (sh. 5,742,940)
– Donald Ngoma (Yanga)
– Thabani Kamusoko (Yanga)
– Vincent Agban (Simba)
10. Kocha Bora (sh. 8,000,000)
*Waliopendekezwa (nominees) kuwania tuzo hiyo ni:
– Hans Van Pluijm (Yanga)
– Mecky Maxime (Mtibwa Sugar) na
– Salum Mayanga (Tanzania Prisons)
11. Mwamuzi bora (sh. 5,742,940)
*Waliopendekezwa (nominees) kuwania tuzo hiyo ni:
– Anthony Kayombo
– Ngole Mwangole
– Rajab Mrope
12. Mchezaji Bora Chipukizi (sh. 4,000,000
*Waliopendekezwa (nominees) kuwania tuzo hiyo ni:
– Farid Mussa (Azam)
– Mohamed Hussein (Simba)
– Mzamiru Yasin (Mtibwa Sugar) na
– Shiza Kichuya (Mtibwa Sugar)
13. Goli bora la msimu (sh. 3,000,000)
*Kinyang’anyiro cha goli bora ni:
– Ibrahim Ajib (magoli mawili ) na
– Amisi Tambwe (goli moja)
0 comments:
Post a Comment