Dar es Salaam,Tanzania.
JUMA Abdul ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2015/16 na kujizolea kitita cha Shilingi Milioni 9 toka kwa Wadhamini wa ligi hiyo kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom katika hafla iliyofanyika Usiku huu na kurushwa Live na kituo cha Azam TV.
Washindi wote wa tuzo ni hawa wafuatao:
Mchezaji Bora wa Mwaka:Juma Abdul - Yanga
Bao bora la Mwaka:Ibrahim Ajib Migomba - Simba
Mchezaji Bora Chipukizi:Mohammed Hussein Tshabalala - Simba
Mlinda Mlango Bora:Aishi Manula - Azam
Mfungaji Bora:Hamis Tambwe - Yanga
Kocha Bora:Hans Van Pluijm - Yanga
Mchezaji Bora wa Kigeni:Thabani Kamusoko - Yanga/Zimbabwe.
Timu yenye Nidhamu:Mtibwa Sugar.
Mwamuzi Bora:NGOLE MWANGOLE
0 comments:
Post a Comment