728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, July 07, 2016

    JERRY MURO AFUNGIWA MWAKA MMOJA NA TFF,ALIMWA FAINI

    Dar es Salaam,Tanzania.

    Kamati ya maadili ya TFF jioni ya leo imemfungia Msemaji wa Yanga SC,Jerry Muro,Kutojihusisha na masuala ya soka kwa kipindi cha mwaka mmoja pamoja na kumlima faini ya shilingi milioni tatu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kupingana na maagizo ya shirikisho hilo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JERRY MURO AFUNGIWA MWAKA MMOJA NA TFF,ALIMWA FAINI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top