Buenos Aires, Argentina.
MSHAMBULIAJI wa Argentina na Boca Juniors,Carlos Tevez,amekataa ofa ya kurejea kuvichezea vilabu vya Westham United na Juventus na badala yake ameamua kujiunga na klabu yake ya zamani ya Corinthians ya Brazil.
Kia Joorabchian ambaye ni wakala wa Tevez,32,amesema mteja wake alikuwa na ofa nyingi mezani toka vilabu vya Juventus,Atletico Madrid na vilabu viwili vya England lakini ameamua kujiunga na Corinthians.
"Kila kitu kimekamilika kilichobaki ni kutia saini mkataba".
0 comments:
Post a Comment