Manchester,England.
Kikosi kamili kiko kama ifuatavyo
Klabu ya Manchester United imetangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoiwakilisha katika michuano ya kombe la Europa.Manchester United ambayo itaanza kibarua cha kuusaka ubingwa wa michuano hiyo kwa kuvaana na FC Midtjylland imemuongeza katika kikosi hicho kinda wake Regan Poole,17 iliyemsajili majira ya kiangazi toka Newport County.
Wakati Poole akipata zali hilo makinda Paddy McNair, Cameron Borthwick-Jackson na Andreas Pereira wao hawamo katika orodha hiyo na badala yake wataingia kwa kupitia kikosi cha vijana.
Kikosi kamili kiko kama ifuatavyo
Goalkeepers: De Gea, Romero, Johnstone
Defenders: Jones, Rojo, Smalling, Shaw, Varela, Darmian, Poole
Midfielders: Mata, Carrick, Blind, Young, Herrera, Valencia, Fellaini, Schneiderlin, Schweinsteiger, Lingard
Forwards: Rooney, Martial, Memphis, Keane
0 comments:
Post a Comment