London,England.
Msaka vipaji Ben Wrigglesworth amejiunga na Arsenal akitokea Leceister City baada ya kuitumikia kwa misimu mitatu na nusu ya mafanikio.Wrigglesworth ambaye alivigundua vipaji vya nyota Riyad Mahrez na Ngolo Kante ametoa taarifa hiyo leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa twitter na kuushukuru uongozi mzima wa Leceister City kwa mazuri yote uliyomfanyia.
Mahrez na Kante
Wrigglesworth ameandika [Ulikuwa ni wakati mguu sana kufikia uamuzi wa kuicha Leceister City lakini inapotokea nafasi kama hii adimu ni ngumu kuikataa].Msaka vipaji huyo amepewa jukumu la kuwa video scout wa kikosi cha wakubwa cha Arsenal.
0 comments:
Post a Comment