728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, February 08, 2016

    AS ROMA YAIPA HABARI MBAYA ARSENAL KUHUSU MLINDA MLANGO WOJCIECH SZCZESNY

    Roma,Italia.


    TUMEGHAIRI:Klabu ya Arsenal imepata habari mbaya baada ya klabu ya AS Roma kusema kuwa haina tena mpango wa kumsajili moja kwa moja mlinda mlango aliye klabuni hapo kwa mkopo Wojciech Szczesny na badala yake itamsajili mlinda mlango wa Kibrazil Alisson.

    Szczesny alijiunga na AS Roma kwa mkopo mwezi Agosti mwaka jana baada ya Arsenal kumsajili Peter Cech kutoka Chelsea kwa makubaliano ya kumsajili moja kwa moja mlinda mlango huyo raia wa Poland lakini habari kutoka Italia ni kuwa AS Roma mapema wiki iliyopita ilifikia makubaliano ya kumsajili Alisson na hiyo mpango wa kumsajili Szczesny umekufa rasmi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AS ROMA YAIPA HABARI MBAYA ARSENAL KUHUSU MLINDA MLANGO WOJCIECH SZCZESNY Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top