Munich,Ujerumani.
Klabu ya Bayern Munich imemsajili kwa mkopo wa miezi sita mlinzi wa Spartak
Moscow Mjerumani Serdar Tasci baada ya walinzi wake wa kutumainiwa Javi
Martinez na Jerome Boateng kukumbwa na majeruhi.
Tasci,28 nyota wa zamani wa VFB Stuttgart anarejea tena Ujerumani baada ya kucheza Urusi kwa misimu miwili na nusu na kazi kubwa atakayopewa ni kuhakikisha kuwa Bayern Munich inafanya vizuri katika michezo ya Bundesliga na Ligi ya mabingwa Ulaya.
0 comments:
Post a Comment