Baada ya kila timu kucheza mitano mitano......fahamu yafuatayo......
Vinara wa Mabao VPL 2015/16
Hamis Kiiza-Simba SC 5 goals
Donald Ngoma-Yanga SC 4 goals
Amis Tambwe-Yanga SC 4 goals
Atupele Green -Ndanda FC 3 goals
Elius Maguli -Stand United 3 goals
Kipre Tchetche- Azam FC 3 goals
Timu zenye alama nyingi zaidi
Yanga SC 15 Pts
Azam FC 15 Pts
Simba SC 12 Pts
Mtibwa Sugar 12 Pts
Majimaji FC 7 Pts
Matokeo ya michezo ya jumatano Septemba 30
Mtibwa Sugar 0-2 Yanga SC ( Malimi Busungu 52’, Donald Ngoma 89’)
Azam FC 2-0 Coastal Union ( Shomari Kapombe 18’, Kipre Tchetche 77’)
Simba SC 1-0 Stand United ( Joseph Kimwaga 57’)
Majimaji FC 1-1 Ndanda FC ( Atupele Green 49’ Ndanda. Alex Kondo 64’ Majimaji)
African Sports 0-1 JKT Mgambo (Kipanga 4')
Tanzania Prisons 0-0 Mwadui FC
Kagera Sugar 0-0 JKT Ruvu
0 comments:
Post a Comment