Baada ya Cristiano Ronaldo kufunga magoli mawili dhidi ya Malmo FF usiku wa jana jumatano katika mchezo wa makundi wa ligi ya mabingwa Ulaya na kufanikiwa kufikisha magoli 501 katika maisha yake ya soka.
Soka Extra kwa kushirikiana gazeti la The Mirror la Uingereza tumekuandalia orodha ya wachezaji 24 waliofunga magoli zaidi ya 500 ambao Ronaldo anahitaji kuvuja jasho jingi ili kuweza kuwakaribia/kuwafikia na kuwapita.
24. Ferenc Bene (Hungary)-508
23. Jimmy Greaves
(England)-511
22. Roberto Dinamite
(Brazil)-512
21. Gunnar Nordahl
(Sweden)-513
20. Johann Krankl
(Austria)-514
19. Alfredo di Stefano
(Argentina, Spain)-514
18. Tulio Maravilha
(Brazil)-515
17. Zico (Brazil)-522
16. Gyula Zsengeller
(Hungary)-522
15. Jozsef Takacs II
(Hungary)-523
14. Fritz Walter (Germany)-539
13. Hugo Sanchez
(Mexico)-541
12. Fernando Peyroteo
(Ureno)-544
11. Franz Binder (Austria,
Germany)-546
10. James McGrory
(Scotland)-550
9. Eusebio (Portugal)-552
8. Ernst Willimowski
(Poland, Germany)-554
7. Uwe Seeler (Germany)-575
6. Ferenc Deak (Hungary)-576
5. Gerd Muller (Germany)-735
4. Ferenc Puskas
(Hungary)-746
3. Pele (Brazil)-767
2. Romario (Brazil)-772
1. Josef Bican (Austria,
Czechoslovakia)-805
0 comments:
Post a Comment