Baada ya michezo ya jumanne na jumatano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya hiki hapa kikosi cha wachezaji 11 waliofanya vizuri katika michuano hiyo.
Golikipa:Kevin Trapp (Paris St-Germain)
Walinzi;Serge Aurier,Chris Smalling (Manchester United),David Alaba (Bayern Munich) na Filip Mladenovic (BATE Borisov)
Viungo;Thiago Alcantara (Bayern Munich),Toni Kroos (Real Madrid) na Juan Mata (Manchester United)
Washambuliaji:Cristiano Ronaldo (Real Madrid),Robert Lewandowski (Bayern Munich) na Sergio Aguero (Manchester City)
0 comments:
Post a Comment