London,England.
Chelsea imeendelea kuwasononesha mashabiki wake baada ya kuchapwa goli 3-1 nyumbani na Southampton katika mchezo mkali wa ligi kuu ulioisha hivi punde katika dimba la Stamford Bligde,London.
Chelsea ndiyo ilikuwa ya kwanza kujipatia goli dakika ya 10 tu ya mchezo kupitia kwa Mbrazil,Willian aliyepiga mkwaju wa faulo uliokwenda moja kwa moja kwenye wavu wa Southampton.
Kuingia kwa goli hilo kuliiamsha Southampton ambayo ilikuja juu na kufanikiwa kupata magoli hayo kupitia kwa Steven Davies dakika ya 44,Sadio Mane dakika ya 60 kisha Graziano Pelle dakika ya 72.
Vikosi
Chelsea: Begovic; Ivanovic, Cahill, Terry,
Azpilicueta; Ramires, Fabregas; Willian,
Oscar, Hazard; Falcao.
Subs from: Blackman, Zouma, Baba, Matic,
Loftus-Cheek, Pedro, Remy.
Southampton: Stekelenburg; Cedric, Fonte,
Van Dijk, Bertrand; Wanyama, Romeu;
Mane, Davis, Tadic; Pelle.
Subs from: Davis, Martina, Yoshida, Ward-
Prowse, Juanmi, Long, Rodriguez.
0 comments:
Post a Comment