Usajili wa mshambuliaji Anton Martial katika klabu ya Manchester United umeendelea kuzua maneno kila siku.Hakuna anayehoji kiwango cha nyota huyo Mfaransa lakini dau alilouzwa ndilo limekuwa nongwa kiasi cha wadadisi wa masuala ya soka kuja na mchanganuo ufuatao ili kuonyesha kuwa Manchester United ilikurupuka baada ya kutoa paundi milioni 36 kwa ajili ya kumsajili kinda huyo toka Monaco.
Martial amechezea jumla ya michezo 74 katika maisha yake ya soka.Michezo 52 ya ligi,11 ligi ya mabingwa na 11 ya michuano mingine.
5252
Martial ameanza na kumaliza michezo saba peke yake.Jumla Martial ametumia dakika 3864 pekee kuwa uwanjani.Kimahesabu Manchester United wametoa £36,000,000 kumnunua mchezaji ambaye amecheza dakika 3864 pekee thamani hiyo ni sawa na £9,316 kwa kila dakika moja ambayo Martial amekuwa kiwanjani.
Ligue 1
11
Champions League
11
Other comps
Ligue 1
11
Champions League
11
Other comps
0 comments:
Post a Comment