Ubelgiji imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina katika mchezo mkali wa kuwania nafasi ya kucheza michuano ya Euro 2016 huku Ufaransa.
Katika mchezo huo wa kundi B uliopigwa katika dimba la King Baudouin Stadium huko Ubelgiji wenyeji Ubelgiji waliamshwa na bao la dakika ya 15 la Bosnia lililofungwa na mshambuliaji Edin Dzeko kwa kichwa.Baada ya bao hilo Ubelgiji iliamka na kupata mabao kupitia kwa Fellaini 23', De Bruyne 43', na Eden Hazard 78'.
Katika mchezo mwingine wa kundi B timu ya taifa ya Wales imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Cyprus na kuendelea kuongoza kundi hilo.Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Gareth Bale.
Matokeo mengine ya kuelekea Euro 2016
Czech Republic 2-1 Kazakhstan
Netherlands 0-1 Iceland
Turkey 1-1 Latvia
Belgium 3-1 Bosnia na Herzegovina
Cyprus 0-1 Wales
Israel 4-0 Andorra
Azerbaijan 0-0 Croatia
Bulgaria 0-1 Norway
Italy 1-0 Malta
Michezo ya leo ijumaa 4 September 2015
Georgia v Scotland
Germany v Poland
Gibraltar v Republic of Ireland
Faroe Islands v Northern
Ireland v Greece
Finland v Hungary
Romania v Denmark
Albania v Serbia
0 comments:
Post a Comment