728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, September 01, 2015

    AAH!!ALEX SONG UJANJA MWINGIIII LAKINI MAVAZI SASA MMH SHIDA

    Song amerejea tena West Ham kwa uhamisho wa mkopo lakini swali kubwa kwa wapenzi wa West Ham limebaki kwenye uvaaji wa nyota huyo mzaliwa wa Cameroun ambaye kwa mujibu wa mashabiki wa klabu hiyo ya London Song ndiye nyota anayeongoza kwa kuvaa vibaya zaidi.

    Alex Song poses
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AAH!!ALEX SONG UJANJA MWINGIIII LAKINI MAVAZI SASA MMH SHIDA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top