1. JOSE BAXTER (Everton) - miaka 16 na siku 198 |
3.WAYNE ROONEY (Everton) - miaka 16 na siku 297 |
4. NEIL FINN (West Ham) - miaka 17 na siku 2 |
5. ANDY CAMPBELL (Middlesbrough) - miaka 17 na siku 9 |
6. STEPHHEN CARR (Tottenham) - miaka 17 na 27 |
7. JAMES MILNER (Leeds United) - 17 years 34 days
Milner aliicheza mchezo wake wa kwanza katika ushindi wa goli 1-0 dhidi ya West Ham February 11, 2003.
|
8. EMILE HESKEY (Leicester City) - miaka 17 na 55
Heskey alicheza mchezo wake wa kwanza March 8, 1995 katika mchezo ambao City ilifungwa goli 2-0 na Queens Park Rangers
|
10. ROB BOWMAN (Leeds United) - 17 na siku 79
Bowman aliicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Manchester United Februari 8, 1993 katika mchezo ulioisha kwa sare ya 0-0 (Elland Road)
|
0 comments:
Post a Comment