728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, August 05, 2015

    USAJILI MPYA:STOKE CITY YAENDELEA KUSAJILI WAHISPANIA,OSVALDO ATUA PORTO,M’VILLA ATUA SUNDERLAND

    Embedded image permalink
     Osvaldo:Dani Osvaldo amejuiunga na klabu ya Porto baada ya kutemwa na Southampton mapema mwezi ujao.Osvaldo,29 aliichezea Southampton michezo 13 na kuifungia magoli manne kabla ya kutolewa kwa mkopo katika vilabu vya Juventus, Internazionale na kisha Boca Juniors


                                  Embedded image permalink
    Emile Heske,37 amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Bolton kwa mwaka mmoja zaidi

     Yann M'Vila
     Yann M’Vila atajiunga leo na klabu ya Sunderland kwa mkopo wa msimu mmoja akitokea klabu ya Rubin Kazan ya Urusi.



    Paul Konchesky

     Mlinzi wa Leceister City Paul Konchesky amejiunga kwa mkopo na klabu ya QPR.Konchesky,34 aliwahi kuichezea klabu ya Westham.

    Bournemouth have completed the signing of forward Lee Tomlin from Middlesbrough for £3million
     Klabu ya Bournemouth iliyopanda ligi kuu ya EPL msimu huu imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Lee Tomlin toka klabu ya Middlesbrough kwa ada ya £3m

    Embedded image permalink
    Molina:Klabu ya Stoke City imesajili kiungo kinda wa klabu ya Real Madrid Sergio Molina kwa mkataba wa miaka mitatu.Molina anakuwa ni mchezaji wa tisa kujiunga na Stoke City baada ya Ibrahim Afellay, Philipp Wollscheid, Jakob Haugaard, Joselu, Marco van Ginkel, Glen Johnson, Shay Given and Moha.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: USAJILI MPYA:STOKE CITY YAENDELEA KUSAJILI WAHISPANIA,OSVALDO ATUA PORTO,M’VILLA ATUA SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top