728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, August 12, 2015

    STOKE CITY YAWEKA REKODI MPYA ENGLAND,YAONGOZA KWA KUWA NA NYOTA WENGI WALIOWAHI KUTWAA LIGI YA MABINGWA

    Siku ya jana jumanne klabu ya Stoke City ilipokamilisha usajili wa winga Xherdan Shaqiri kutoka klabu ya Inter Milan ya Italia siyo kwamba ilikuwa ikiandika historia ya matumizi makubwa zaidi ya pesa katika usajili kwa mchezaji mmoja bali pia ilikuwa ikiandika historia nyingine ya kuwa na kikosi kilichojaa wachezaji wengi waliowahi kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya kuliko klabu yoyote ili inayoshiriki ligi kuu nchini England.Shaqiri ametua Stoke City kwa kitita cha paundi milioni 12 kikiwa ni kiwango kikubwa zaidi kutumiwa na klabu hiyo tangu kuanzishwa kwake miaka ya 1860-62.Jumla ya nyota hao ni zaidi 
    ya idadi ya nyota wote walioko katika vilabu vya Arsenal,Man City na Liverpool wakiwekwa pamoja.

    Ifuatayo ni orodha kamili ya vilabu na nyota waliowahi kutwaa ligi ya mabingwa








    LONDON, ENGLAND - MAY 25: Xherdan Shaqiri of Bayern Muenchen holds the trophy after winning the UEFA Champions League final match against Borussia Dortmund at Wembley Stadium on May 25, 2013 in London, United Kingdom. (Photo by Alex Livesey/Getty Images)
    (1) Stoke City:Marko Arnautovic (Inter  2010), Bojan (Barcelona  2009 na 2011) Marc Muniesa (Barcelona 2009). , Ibrahim Afellay (Barcelona 2011),, Xherdan Shaqiri (Bayern Munich 2013),




    Wayne Rooney of Manchester United
    (2) Manchester United:Michael Carrick, Wayne Rooney, Victor Valdes, Juan Mata, Bastian Schweinsteiger






    LONDON, ENGLAND - MAY 20: (EXCLUSIVE COVERAGE) John Terry and Ashley Cole (R) pose with the Champions League trophy during the Chelsea victory parade following their UEFA Champions League and FA Cup victories on May 20, 2012 in London, England. (Photo by Darren Walsh/Chelsea FC via Getty Images)
    (3)Chelsea:John Terry, Gary Cahill, John Obi Mikel, Ramires, Branislav Ivanovic




    Daniel Sturridge of Chelsea celebrates with the trophy after their victory in the UEFA Champions League Final between FC Bayern Muenchen and Chelsea
    (4) Liverpool:Mario Balotelli na Danny Sturridge


    MUNICH, GERMANY - MAY 19: Petr Cech celebrates with the trophy after their victory in the UEFA Champions League Final between FC Bayern Muenchen and Chelsea at the Fussball Arena München on May 19, 2012 in Munich, Germany. (Photo by Alex Livesey/Getty Images)
    (5) Arsenal:Peter Cech
     



    Yaya Toure of FC Barcelona
    Man City:Yaya Toure (Barcelona 2011)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: STOKE CITY YAWEKA REKODI MPYA ENGLAND,YAONGOZA KWA KUWA NA NYOTA WENGI WALIOWAHI KUTWAA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top