728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, August 12, 2015

    KWA PICHA NI DHAHIRI PEDRO HAITAKI TENA BARCELONA

    Licha ya kuwa goli lake la dakika ya 115 ndilo liloipata ubingwa wa Super Cup klabu ya Barcelona hapo siku ya jana dhidi ya klabu ya Sevilla utagundua kuwa Pedro Rodriguez hana tena hamu ya kuendelea kubaki Nou Camp.

    Ukiitazama kwa makini picha hii utagundua kuwa wakati nyota wengine wakimakinika kulitolea jicho taji hilo yeye yuko mbali kabisa tena amejitenga utafikiri ubingwa ule haumuhusu................
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KWA PICHA NI DHAHIRI PEDRO HAITAKI TENA BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top