Klabu ya Manchester City imeshinda mbio za kumsajili mlinzi mahiri wa klabu ya Valencia Muargentina Nicolas Otamendi baada ya ofa yake ya €40m kukubaliwa na miamba hilo ya La Liga.
Wakati taarifa zikisema kuwa Otamendi,27 atatambulishwa kesho jumatatu kuwa mchezaji mpya wa Manchester City mlinzi Eliaquim Mangala yeye atajiunga na Valencia kwa mkopo wa msimu mmoja.
0 comments:
Post a Comment