Raheem Sterling ameendelea kuonyesha wazi wazi kuwa amelichoka jiji la Liverpool kwani ripoti zinadai nyota huyo wa zamani wa Liverpool ameamua kuliuza jumba lake la kifahari lililoko jijini humo maeneo ya Southport.
Jumba hilo lenye mandhari nzuri na ya kuvutia linauzwa kwa paundi milioni 1.5 tu........
Chumba cha kuangalizia Cinema
Chumba cha kuangalizia Cinema
Salon
Chumba cha muziki na starehe
Bwawa la kuogelea
Chumba cha zoezi GYM
Sebule
Jikoni
Chumba cha kulala
Bafu ambalo unaoga huku ukitaza TV
Uwanja wa Basketball
Uwanja wa Soka
Sehemu ya kupumzika nje ya nyumba
0 comments:
Post a Comment