728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, August 12, 2015

    AKIWA NJIANI KUONDOKA PEDRO AIPA SUPER CUP BARCELONA,AFUNGA GOLI LA KUKUMBUKWA,SEVILLA YAFA 5-4




    Tbilisi,Georgia.

    Akitokea benchi kwa mara nyingine Pedro Rodriguez amefanikiwa kuipa Barcelona ubingwa wa tano wa Super Cup na kuifikia klabu ya AC Milan baada ya kufunga goli la ushindi dhidi ya Sevilla katika mchezo mkali ulipigwa Boris Paichadze Dinamo Arena - Tbilisi na matokeo kuwa 5-4.

    Mwaka 2009 Pedro aliingia uwanjani katika mchezo mwingine wa Super Cup na kuifungia Barcelona goli prla ushindi dakika ya 115 dhidi ya Shaktar Donestik.

    Magoli ya Barcelona yalifungwa na Messi 7, 16,Rafinha 44,Suárez 52 na 
    Pedro Rodríguez 115 huku yale ya Sevilla yakifungwa na Banega 3,Reyes 57,Gameiro 72 na Konoplyanka 80

    Huu ni mchezo wa kwanza wa Super Cup vilabu kufungana kwa idadi kubwa ya magoli.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AKIWA NJIANI KUONDOKA PEDRO AIPA SUPER CUP BARCELONA,AFUNGA GOLI LA KUKUMBUKWA,SEVILLA YAFA 5-4 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top