KOCHA wa Stand United, Patrick Liewig
Shinyanga,Tanzania.
LIGI kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja kuchezwa huko mjini Shinyanga.
Katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa CCM kirumba,wenyeji Stand United wameichapa Toto Africans ya mwanza kwa jumla ya bao 1-0.Bao hilo limefungwa katika dakika ya 37 na Adam Kingwande.
0 comments:
Post a Comment