Cape Town,Afrika Kusini.
TIMU ya taifa ya Misri imekiona cha moto baada ya usiku huu kuchapwa bao 1-0 na timu ya taifa ya Afrika Kusini Bafana Bafana katika mchezo mkali wa kimataifa wa kirafiki wa michuano ya Nelson Mandela uliochezwa katika uwanja wa Orlando,uliopo Cape Town,Afrika Kusini.
Bao pekee la mchezo huo limefungwa dakika ya saba ya kipindi cha kwanza na Mpho Makola kwa kichwa safi akiunganisha krosi kutoka kwa winga,Mandla Masango.
Vikosi
Afrika Kusini:Itumeleng Khune, Abbubaker Mobara (Ramahlwe Mphahlele 61’), Tebogo Langerman (Sifiso Hlanti 82’), Clayton Daniels, Thulani Hlatshwayo, Andile Jali, Dean Furman, Mpho Makola, Mandla Masango (Deolin Mekoa 77’), Keagan Dolly (Hlompho Kekana 66’), Thamsanqa Gabuza (Sibusiso Vilakazi 61’)
Misri: Ahmed Shennawy, Omar Gaber (Ahmed Fathy 76’), Ali Gabr, Ahmed Dweidar,Mohamed Abdel-Shafy, Mohamed Elneny (Tarek Hamed 63’), Ibrahim Salah, Abdallah El-Said (Ramadan Sobhi 78’), Mahmoud ‘Trezeguet’ Hassan (Mostafa Fathy 90+1’),Mohamed Salah, Ahmed ‘Koka’ Hassan (Amr Gamal 80’)
0 comments:
Post a Comment