UBELGIJI imekianza vyema kinyang'anyiro cha kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya kombe la dunia baada ya usiku huu ikiwa ugenini kuichapa Cyprus kwa mabao 3-0 katika mchezo safi wa kundi H.
Ubelgiji imejipatia mabao yake kupitia kwa Romelu Lukaku aliyefunga mara mbili pamoja na Yannick Carrasco aliyefunga mara moja huku Michy Batshuayi akikosa mkwaju wa penati.
0 comments:
Post a Comment