Leganes,Hispania.
LIONEL MESSI (Pichani) amefunga mabao mawili na kuiwezesha Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya klabu iliyopanda daraja ya Deportivo Leganes katika mchezo wa ligi ya La Liga uliochezwa mchana wa leo katika Uwanja wa Estadio Butargue.
Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Luis Suarez,Neymar Jr pamoja na Rafinha Alcantara.Bao la kufutia machozi la Leganes limefungwa na Gabriel kwa mkwaju wa adhabu.
Vikosi
Leganés: Serantes | Díaz, Bustinza,Insua, Medjani (Pérez), Rico | Sastre,Machís (Szymanowski), Gabriel, López (Ramos) | Koné
Barcelona: Ter Stegen | Mascherano,Piqué, Umtiti | Rafinha, Rakitic (Arda),Iniesta (Denis), Alba | Messi, Suárez (Alcácer), Neymar
Mwamuzi:De Burgos Bengoetxea
0 comments:
Post a Comment