Leganes,Hispania.
MABAO mawili aliyofunga Lionel Messi (Pichani) mchana wa leo katika dimba la uwanja wa Estadio Municipal de Butarque na kuiwezesha timu yake ya Barcelona kushinda mabao 5-1 dhidi ya Deportivo Leganes yamemfanya staa huyo wa Argentina kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao katika viwanja 34 tofauti nchini Hispania na kuvunja rekodi ya nyota wa zamani wa Real Madrid Raul Gonzalez aliyefunga katika viwanja 33 tofauti.
0 comments:
Post a Comment