CAIRO,MISRI.
Shirikisho la vyama vya soka Afrika CAF jana jumatano lilitangaza tarehe ya mtanange wa CAF Super Cup.
Mtanange huo utakaowakutanisha mabingwa wa kombe la shirikisho Etoile du Sahel ya Tunisia na TP Mazembe ya DR Congo) unatarajiwa kupigwa Februari 20 huko Lubumbashi,Congo.
UBINGWA
Etoile du Sahel ilitwaa kikombe cha shirikisho baada ya kuilaza Orlando Pirates ya Afrika Kusini (1-1, 1-0) huku TP Mazembe ikitwaa kikombe cha klabu bingwa baada ya kuilaza USMA ya Algeria (2-2,2-0)
0 comments:
Post a Comment