728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, September 13, 2015

    LICHA YA USHINDI DHIDI YA LIVERPOOL NYOTA MAN UNITED ASEMA UBINGWA MSIMU HUU NO!!

    Manchester,England.

    Gwiji wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand amesema haipi nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu.

    Ferdinand ameyasema hayo licha ya Manchester United kuibuka na ushindi mnono wa goli 3-1 dhidi ya Liverpool na kuchupa mpaka nafasi ya pili ikiwa nyuma ya Manchester City kwa pointi tano.

    Ferdinand ameponda Falsafa inayotumiwa na kocha wa sasa Mdachi Luis Van Gaal kwa madai kuwa haina tija kwa klabu.

    "Watamaliza ligi katika nafasi nne za juu.Lakini sidhani kama wataukaribia ubingwa," Ferdinand,aliyetwaa mataji sita ya EPL ameliambia The Telegraph .

    "Falsafa inayotumika sasa ni tofauti sana na ile iliyozoeleka hapa.Falsafa yao kwa sasa inaonekana kuwa: 'Tutamiliki mpira kuliko nyie,na kuwanyima uhuru wa kutosha.Sisi kuwanyiwa nyinyi nafasi ya kucheza ndiyo siraha yetu ya kujilinda.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LICHA YA USHINDI DHIDI YA LIVERPOOL NYOTA MAN UNITED ASEMA UBINGWA MSIMU HUU NO!! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top