Madrid,Hispania.
Mlinzi kinda wa Arsenal Hector Bellerin ameitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania kinachojiwinda na michezo ya miwili ya kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya Euro 2016 dhidi ya mataifa ya Slovakia na Macedonia.
Kocha wa Hispania Vicente del Bosque amemuita kikosini Bellerin,20 baada ya mlinzi huyo wa kulia kuendelea kuonyesha kiwango kizuri katika klabu yake ya Arsenal tangu alipopewa nafasi ya kuziba pengo la mlinzi Mathieu Debuchy aliyekuwa majeruhi.
Kikosi kamili
Makipa: Iker Casillas (Porto), David De Gea (Manchester United) and Sergio Rico (Sevilla)
Walinzi: Juanfran Torres (Atlético de Madrid), Gerard Piqué, Marc Bartra and Jordi Alba (Barcelona), Daniel Carvajal, Sergio Ramos (Real Madrid), Juan Bernat (Bayern Múnich) and César Azpilicueta (Chelsea), Hector Bellerin (Arsenal).
Viungo: Jorge Resurrección ‘Koke’ (Atlético de Madrid), Sergio Busquets and Andrés Iniesta (Barcelona); Francisco Alarcón ‘Isco’ (Real Madrid), Cesc Fabregas (Chelsea), VÃctor MachÃn ‘Vitolo’ (Sevilla), Santi Cazorla (Arsenal) and Juan Mata (Manchester United).
Washambuliaji: Paco Alcácer (Valencia), Diego Costa (Chelsea), Pedro RodrÃguez (Chelsea) and David Silva (Manchester City).
__

0 comments:
Post a Comment