728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, June 10, 2015

    USAJILI:WEST HAM YANASA KIFAA CHA NGUVU

    London,England.

    West ham imethibitisha kumsajili kiungo  Pedro Obiang kwa mkataba wa miaka minne kutokea klabu ya  Sampdoria ya Italia, ingawa ada ya usajil
    i wake haijawekwa wazi.

    Nyota huyo mwenye miaka 23, aliichezea Sampdoria mechi 35 katika ligi ya Italia, Seria A msimu wa 2014/2015 akifunga magoli matatu, huku timu yake ikimaliza nafasi ya saba katika msimamo.

    Huyu ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa tangu klabu hiyo imtangaze Slaven Bilic kuwa kocha mkuu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: USAJILI:WEST HAM YANASA KIFAA CHA NGUVU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top