Manchester United imetangaza kikosi chake kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya hatua ya makundi.
Katika kikosi hicho kocha Louis van Gaal amemtema mlinda mlango mzoefu Victor Valdes na kuongeza sura mpya kikosini kwa kuwajumuisha Guillermo Varela na Nick Powell huku James Wilson ,Andreas Pereira and Paddy McNair wakijumuishwa kutoka kikosi B ambapo sheria za UEFA zinatoa nafasi kwa wachezaji waliozaliwa ndani au baada ya Januari1,1994 kujumuishwa.
Makipa : David de Gea , Sergio Romero, Sam Johnstone
Walinzi: Phil Jones , Marcos Rojo ,Chris Smalling, Luke Shaw , Guillermo Varela , *Paddy McNair, Matteo Darmian
Viungo : Michael Carrick, Daley Blind, Ashley Young , Ander Herrera ,Nick Powell, Antonio Valencia,Marouane Fellaini, Morgan Schneiderlin, Bastian Schweinsteiger,
Jesse Lingard , *Andreas Pereira.
Washambuliaji : Wayne Rooney , Memphis,
Juan Mata , Anthony Martial, * James Wilson
0 comments:
Post a Comment